FastSaying

Sina nyemi na mwanamke mwenye sura nzuri na tabia mbaya. Nina nyemi na mwanamke mwenye sura mbaya na tabia nzuri, au mwanamke mwenye sura nzuri na tabia nzuri. Mwanamke wa kuoa sitampenda nitampendelea.

Enock Maregesi

Enock Maregesi

bad-behaviorbeautiful-facebehaviorfacegood-behaviorlovemwanamkemwanamke-wa-kuoanyemisurasura-mbayasura-nzuritabiatabia-mbayatabia-nzuriugly-facewife-materialwoman

Related Quotes

Natafuta mwanamke mwenye utu, wema, uaminifu na tabia njema – sifa ambazo ataendelea kuwa nazo hata uzeeni. Sifa hizi zinaweza kubadilika kwa sababu ya maisha au kwa sababu ya mapenzi ya Mungu, lakini mabadiliko haya hayatakuwepo kwa haraka. Sura haidumu. Tabia hudumu.
— Enock Maregesi
behaviorbehavior-lastschanges
Tabia ya mwanamke mwema inapaswa kufichwa ndani ya Kristo ili mwanamume anayemtaka huyo mwanamke amtafute ndani Kristo kwanza, ili kukutana naye.
— Wilson M. Mukama
kristomwanamkemwanamume
Kwa mwanamke wa kuoa natafuta hasanati. Akiwa mbaya atakuwa mzuri. Akiwa maskini atakuwa tajiri. Akiwa gumbaru atakuwa msomi. Akiwa mshamba atakuwa mjanja. Akiwa mjinga atapata maarifa. Nitampenda zaidi kwa mazuri kuliko mabaya.
— Enock Maregesi
beautifulevilfoolish
Mwanamke akikuomba pesa, mpe!
— Enock Maregesi
moneymwanamkepesa
Ukitaka kumjua mwanamke jua historia yake.
— Enock Maregesi
historiahistoryjua