FastSaying

Hufanani na yoyote katika dunia hii. Unafanana na wewe mwenyewe. Usimdharau mtu, humjui!

Enock Maregesi

Enock Maregesi

animalanydharauduniamanmnyamamtuscornwewewewe-mwenyeweworldyouyou-aloneyoyote

Related Quotes

Ukila kiapo fanya kile ulichoahidi katika kiapo, si kinyume chake hata kidogo, hata kama dunia haitakubaliana na wewe.
— Enock Maregesi
doduniafanya
Mungu anataka nini zaidi kutoka kwako? Anakutaka wewe.
— Enock Maregesi
godmunguwewe
Sipendi dharau: mimi kumdharau mtu au mtu kunidharau mimi. Sitakudharau kwa sababu sikujui. Hupaswi kunidharau kwa sababu hunijui.
— Enock Maregesi
dharauhunijuii
Kwa nini watu wana kawaida ya kuona thamani ya mtu baada ya mtu kufariki? Kwa nini watu wana kawaida ya kuona thamani ya pumzi katika kipindi ambacho mtu hana uwezo tena wa kuvuta hewa? Nini thamani ya pumzi? Thamani ya pumzi ni kukufanya uwe wewe na si udongo.
— Enock Maregesi
breathbreathingearth
Maskini hajali wewe ni nani. Anajali utu ndani ya moyo wako.
— Enock Maregesi
humanitymaskinimoyo