FastSaying

Kumbuka kwamba watu wanaokupa pesa bila masharti yoyote wanajisikia vizuri sana kufanya hivyo.

Enock Maregesi

Enock Maregesi

conditionsmashartimoneypeoplepesawatu

Related Quotes

Mwanamke akikuomba pesa, mpe!
— Enock Maregesi
moneymwanamkepesa
Watu hawashabikii watu wa kawaida; wanashabikia watu ambao si wa kawaida.
— Enock Maregesi
extraordinary-peopleordinary-peoplepeople
Pesa itolewe kwa masharti au bila masharti chukua, kwani huyo aliyeitoa si yake. Benki, kwa mfano, ikitaka kukupa mkopo itakuwa na masharti yake; chukua, iwapo utakubaliana na masharti hayo. Jambazi akikupa pesa ili ukafanyie ujambazi chukua pia. Lakini hiyo usiipeleke kanisani, ipeleke serikalini. Serikali itajua jinsi ya kupambana na huyo aliyekupa hiyo pesa, na hiyo pesa itaendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini. Pesa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini ni sawa na zaka, au sadaka, na wewe utabarikiwa kwa kupata nyingine.
— Enock Maregesi
almsbankbenki
Afrika isomeshe watu wake, na itumie vizuri mapato yanayotokana na mauzo ya rasilimali zake kwa faida ya jumla ya wananchi wa nchi zake, kusudi baadaye wawe wataalamu wa rasilimali za nchi zao wenyewe, kuepukana na utumwa wa rasilimali. Rasilimali za Afrika zina miiko na masharti yake.
— Enock Maregesi
africaafrikabenefit
Silaha kuu ya uchoyo ni kujitolea kwa ajili ya watu wengine. Ni upendo.
— Enock Maregesi
greedykujitolealove