FastSaying

Pesa itolewe kwa masharti au bila masharti chukua, kwani huyo aliyeitoa si yake. Benki, kwa mfano, ikitaka kukupa mkopo itakuwa na masharti yake; chukua, iwapo utakubaliana na masharti hayo. Jambazi akikupa pesa ili ukafanyie ujambazi chukua pia. Lakini hiyo usiipeleke kanisani, ipeleke serikalini. Serikali itajua jinsi ya kupambana na huyo aliyekupa hiyo pesa, na hiyo pesa itaendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini. Pesa kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini ni sawa na zaka, au sadaka, na wewe utabarikiwa kwa kupata nyingine.

Enock Maregesi

Enock Maregesi

almsbankbenkichurchconditionscriminaldefence-and-securitygangsterismgovernmentjambazikanisaniloanmashartimkopomoneyofferingpesasadakaserikalinititheujambaziulinzi-na-usalamazaka

Related Quotes

Kumbuka kwamba watu wanaokupa pesa bila masharti yoyote wanajisikia vizuri sana kufanya hivyo.
— Enock Maregesi
conditionsmashartimoney
Hata kama umetajirika kiasi gani mpe Mungu kipaumbele cha kwanza katika kila jambo unalofanya. Toa zaka na sadaka na jitolee katika mambo yote yanayompendeza Mungu.
— Enock Maregesi
first-prioritygodkipaumbele-cha-kwanza
Zaka huondoa laana ya mapato.
— Enock Maregesi
curseearningslaana
Mwanamke akikuomba pesa, mpe!
— Enock Maregesi
moneymwanamkepesa
Zaka husaidia kueneza injili duniani kote. Ukitoa zaka umesaidia kueneza injili duniani kote. Toa zaka na mapato yako yatabarikiwa. Usitoe zaka na mapato yako yatalaaniwa.
— Enock Maregesi
blessedcursedduniani-kote